Google PlusRSS FeedEmail

AMBER ROSE AZIDI KUWA NA MVUTO WA AINA YAKE

          
Amber Rose ameendelea kuwa tishio katika fani ya urembo baada ya kumbukumbu ya miaka kumi ya Perez Hilton ,Hollywood Marekani

   

Mrembo huyo mwenye mvuto alijitokeza hadharani kwa mara ya kwanza tangu alipotia saini mktaba na kampuni ya NCredible Entertanment,ambayo meneja wake ni mwanamuziki Nick Cannon.
                           
Mwanamitindo huyo alifunga ndoa na Rapper Wiz Khalifa,mwanamama aliuteka ukumbi kwa suruali yake aina Jeans,ambayo ilionesha umbo lake.
                         
Pia alishawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Rapper Kanye West

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging