Google PlusRSS FeedEmail

LIONEL RICHIE APAGAWA NA PENZI LA LISA PARIGI

                                    
Licha ya kuwa na umri mkubwa mwanamuziki nguli kutoka Marekani Lionel Richie,amepagawa na penzi ya kinda Lisa Parigi
Richie mwenye miaka 65 ameanzisha uhusiano na mrembohuyo miaka miwili iliyopita na juzi walikutwa katika mgahawa wa C London wakipata chakula cha jioni.Gwiji huyo aliyewahi kutwaa tuzo maarufu zaidi Duniani za Grammy,alivaa mavazi ya vijana na muda wote alikuwa akionekana mwenye tabasamu..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging