Google PlusRSS FeedEmail

IGGY AZALEA AITEKA LAS VEGAS

                                           
Msanii Iggy Azalea amepagawisha mashabiki katika tamasha maalumu lilofanyika huko mjini Las Vegas,Msanii huyo aliwapagawisha mashabiki wake kwa stle ya aina yake aliyokuwa akicheza jukwaani..Mwanamuziki huyo ambaye ni raia wa Australia ambaye mpaka sasa ana umri wa miaka 24 alifanikiwa kucheza kwa style ya aina yake huku akiwa amevalia viatu virefu..

.                      

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging