Google PlusRSS FeedEmail

MUIGIZAJI GEORGE AFUNGA NDOA NA MWANASHERIA

Muigizaji maarufu wa Marekani, George Clooney hatimaye amefunga ndoa na mwanasheria wa haki za binadamu, Amal Alamuddin huko Venice, Italia.

Crooney na Alamuddin walipokea salamu za pongezi na kuwatakia heri kutoka kwa maelfu ya watu huku wakifurahia na marafiki zao wa karibu katika hotel ya kifahari inayojuliikana kama Aman Hotel.

Miongoni mwa wageni waalikwa ni pamoja na Cindy Crawford, Bill Murray, Matt Damon na muimbaji Bono wa kundi la U2.

Angalia picha:
Amal Alamuddin

Bill Murray alikuwa miongoni mwa wageni


Msafara wa boat siku ya harusi

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging