
Niliongea naye kwa simu kutoka mwanza mapema leo alisema kwamba "nimeamua kuokoka na kumtumikia Mungu katika maisha yangu yote baada ya kupitia majaribu mengi katika siasa pia nna wimbo wangu wa injili unaitwa yesu umeniokoa ni mzuri sana mda sio mrefu ntatoa video ya wimbo huo" alisema Mwl Deo Kisandu