Google PlusRSS FeedEmail

WASANII WALIVYOKONGA NYOYO ZA MASHABIKI GEITA SERENGETI FIESTA

 Mwanadada anayetesa katika anga la muziki wa kizazi kipya, Linah akionyesha umahiri wake kwenye tamasha la serengeti fiesta mjini Geita juzi
 Ney wa Mitego (kushoto) na Stamina wakilishambulia jukwaa katika onyesho la muziki la serengeti fiesta mjini Geita juzi.
  Mkali wa muziki wa kizazi kipaya, Ommy Dimpoz akikonga nyoyo za maelfu ya wakazi wa Geita katika tamasha la serengeti fiesta mjini humo juzi

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging