Google PlusRSS FeedEmail

WEMA APEWA UJUMBE NA DIAMOND

Haya ndio maneno yaliyoandikwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platnum ambaye pia ni mpenzi wake msanii wa filamu nchini Wema Sepetu katika siku yake ya kuzaliwa.

Ambapo aliweka wazi juu ya mahusiani yao yanavyopatwa na changamoto "laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza...Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa.....vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na mabalaa ya kila aina....lakini siku zote tumekuwa tukipendana na kuthaminiana kama tumeanzana jana, kwakuwa tulijua si kosa lao, ni hawajui tu niwapi tulipotokea...to the world, you may be one person...But to me, you are the world, My Beautiful World...na kama kukupenda ni uwendaazimu basi ni bora Nikabaki kwenye uchizi wangu kuliko kupata Ufahamu....i may not be physically present to stand by you while you cut your cake, but you’ll be in my thoughts the whole day! Happy birthday Darling....mmeo niko nahangaika, bt i will be coming home soon....Love you mama" aliandika Diamond

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging