Google PlusRSS FeedEmail

BINTI AJINADI MTANDAONI ATAKA MWANAUME AMLIPIE NAULI NA MALAZI AWEZE KULALA NAYE


HII nalo ni jipya kabisa msichana mwenye miaka 19, kutoka China amejikuta anatawala vichwa vya habari kwa kutoa uroda kwa wanaume tofauti katika kila jiji analotembelea ambapo yeye anahitaji mwanaume huyo kumlipia usafiri na malazi tu.

Mwanafunzi huyo ambaye ni mwanafunzi Ju Peng kutoka Shanghai ametuma tangazo kupitia mtandaoni kuwa anataka wapenzi wa muda ambao wanatakiwa kuwa na sura nzuri miaka chini ya 30, warefu Zaidi ya 1.75 na wawe na fedha.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging