Google PlusRSS FeedEmail

CHID BENZ ASOMEWA MASHTAKA 3, ARUDISHWA RUMANDE


MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Chid Benz mchana huu amesimamishwa kizimbani kwa mara ya kwanza katika mahakama ya Kisutu na kusomewa mashtaka matatu ambayo ni

1. Kukutwa na madawa na vifaa vya kutayarishaji uvutaji wa madawa
2. Kusafirisha madawa ya kulevya
3. Utumiaji wa madawa ya kulevya

Chidi Benz amerudishwa rumande hadi Novemba 11ambapo atapandishwa tena kizimbani.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging