Google PlusRSS FeedEmail

BREAKING NEWS KAMATI YA MISS TANZANIA '' SITTI MTEVU NI MISS HALALI''

Kamati ya miss Tanzania imeweka bayana swala la Miss Tanzania 2014 Sitti Mtevu kuwa ameshinda kwa vigezo vyote,na imemhalalisha kuwa ni Miss halali,,,

Mkurugenzi wa shindano hilo Hashim Lundenga,akiongea na waandishi wa habari, kuhusu swala la umri wa mrembo huyo amesema,kamati haina mamlaka ya kumvua taji mrembo huyo kwakuwa vigzo vyote vilizingatiwa..

aliongeza kuwa cheti halali kinaonyesha mrembo huyo alizaliwa mwaka 24 May 1991na si vinginevyo..

Kuhusu swala la Passport na Leseni,zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii,zikionyesha kuwa alizaliwa mwaka 1989,Lundenga amesema huwa hawaangalii hivyo vitu wao wanaangalia cheti halisi cha kuzaliwa.

kuhusu swala la unene wao hawaangalii unene ,urefu, ufupi ..muhimu awe na vigezo vinavyotakiwa

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging