Google PlusRSS FeedEmail

MSANII YP WA TMK WANAUME AFARIKI DUNIA

Msanii YP wa Kundi TMK Wanaume Family Afariki Dunia...

Msanii wa kundi la TMK Wanaume Family aliyejulikana kama YP, amefariki dunia usiku wa leo katika hospitali ya Temeke baada ya kusumbuliwa muda mrefu na ugonjwa wa kifua.

Meneja wa kundi hilo Said Fella amethibitisha taarifa ya kifo hicho.


Mungu Ailaze Roho ya Marehemu YP Mahala Pema Peponi... AMEEN...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging