Google PlusRSS FeedEmail

CHID BENZ APATA DHAMANA


BAADA ya jana kulala rumande kwa kukosa dhamana msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ leo asubuhi October 29 apata dhamana baada ya kutimiza masharti yaliyotolewa ikiwemo ya kuwa na wadhamni 2 wanaotambuliwa serikalini.

Chid Benz alipandishwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jana October 28 na kusomewa mashtaka matatu yaliyokuwa yakimkabili ambapo alishindwa kutimiza masharti ya dhamana.

Msanii huyo ambaye anakabiliwa na kesi ya kukamatwa na dawa za kulevya,kesi hiyo inatarajiwa kusikilizwa tena October 11 mwaka huu 2014.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging