MAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA YP
Aliyekuwa staa wa muziki kutoka kundi la TMK
Wanaume Family, Yessaya Ambilikile Mwakalekamo aka YP ameagwa jana
katika viwanja vya TCC Chan’gombe na kuzikwa makaburi ya Chang’ombe Dar
es Salaam
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG