HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE : CHIDI BENZ AKAMATWA UWANJA WA NDEGE
Posted on by Zourha Malisa
Inadaiwa msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini azuiliwa Uwanja wa ndege jijini Dar es Salaam, akiwa njiani akielekea mjini Mbeya, ambapo inasemekana amekutwa na kete 30 za dawa za kulevya.