Google PlusRSS FeedEmail

MISS ELLIOTT AJIPUNGUZARapper wa kike Missy Elliott ambaye kwa kipindi kirefu alichokuwa akifanya muziki alifahamika kwa muonekano wa umbo kubwa (mnene) sasa amebadili kabisa umbo lake.

Rapper huyo ameonekana tofauti wikendi hii alipokuwa akiperform katika tamasha lililoandaliwa na Alexander Wang huko New York.

Miss Elliott ambaye alikuwa ameshapunguza uzito kwa zaidi ya kilogram 31 mwaka 2002, ameeleza katika twitter kuwa hivi karibuni amepunguza zaidi ya kilogram 13.

Alianza mpango wa kupunguza uzito baada ya kupata matatizo ya kiafya yaliyompata na kuhusishwa na uzito wake ambapo mwaka 2008 hali ilikuwa tete zaidi.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging