MSANII anayekuja kwa kasi anga la filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amewaasa wasan
ii wenzake kujali afya zao kwa kupenda kupima ugonjwa wa Ukimwi mara kwa mara.
sanii anayekuja kwa kasi anga la filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’. Akizungumza na mwandishi wetu, msanii huyo alisema kuwa kungekuwa na tarat
ibu kabisa za kupima ugonjwa huo si kwa nia mbaya ili kuweza kujuana maana kwenye vikundi vya sanaa ndiko kwenye vitendo vingi viovu.
“Ni kitu kizuri sana tena kupima kwa hiari na hivyo vingeweza kusaidia kuwaepusha wasanii wachanga wanaorubuniwa na v
iongozi wa vikundi ili kupewa nafasi ya kuonekana kwenye runinga,”