AFSA KAZINJA ABADILI DINI Posted on by Unknown Msanii wa Bongo Fleva Hasfa Kazinja ameandika kwenye ukurasa wake wa facebook kwamba amebadili dini na sasa anajulikana kama Christina Kazinja, msanii huyo ambaye alitamba na wimbo wake wa Pressure aliomshirikisha Banana Zorro.,