Google PlusRSS FeedEmail

DAVIDO KUFANYA KAZI NA DRAKE

                            
Mshindi wa tuzo ya BET 2014 ‘Best International Act Africa’, David ‘Davido’ Adeleke wa Nigeria amesema yuko kwenye mipango ya kufanya collabo ya kimataifa na Rapper Drake.

Kwa mujibu wa Nigeria Film, Davido amesema tayari ameanza mazungumzo na star huyo kuhusu collabo hiyo anayotarajia itakuwa kubwa.



“Nina mipango ya kufanya collabo na Drake. Ninapenda aina ya muziki wake. Itakuwa ni bomu! Kitu ambacho mashabiki wangu watafurahia. Tayari tuko kwenye mazungumzo juu ya hilo. Alisema Davido.”
Wakati Davido yuko kwenye mpango wa collabo na Drake, mpinzani wake mkubwa kwa Nigeria, Wizkid tayari amethibitisha kuwa amefanya collabo na aliyekuwa adui wa Drake, Chris Brown ambao kwa sasa wamemaliza tofauti zao na kuwa washkaji tena.
..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging