Google PlusRSS FeedEmail

GEEZ MABOVU AZIKWA KWAO IRINGA


MAZISHI ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Geez Mabovu ambaye alikuwa maarufu kwenye muziki wa Hiphop Tanzania, yamefanyika jana nyumbani kwao Iringa katika makaburi ya Mlolo.

Mabovu amefariki dunia kwenye hospitali alikokua amelazwa nyumbani kwao Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita kutokea Dar es salaam akisumbuliwa na maradhi ya kifua.
Ndugu, jamaa, marafiki, wasanii na watu mbalimbali wamejitokeza kushiriki katika mazishi hayo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging