KESI YA CHIDDI YPIGWA KALENDA Posted on by Zourha Malisa Kesi inayomkabili msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Chidd Benzi, imepigwa kalenda hadi Desemba 1 mwaka huu kwa madai kuwa bado upelelezi haujakamilika.