Google PlusRSS FeedEmail

BAADA YA KUONA MAMBO MAGUMU, CHIDI BENZ AOMBA SALA ZA WANANCHI


Rapper Chidi Benz aka Rashid Makwiro anapandishwa kizimbani Jumanne hii November 11 kwenye mahakama ya hakimu mkazi, kisutu Dar es salaam
Chidi Benz anakabiliwa na mashtaka ya kukamatwa na dawa za kulevya hivi karibuni na alikuwa nje kwa dhamana.

Kupitia twitter yake Chidi Benz ameomba maombi yenu mashabiki kwa kuandika hivi "
Kesho napanda mahakamani asubuhi pale kwa hakimu mkazi kissutu..niombeeni kheri koz najua wapo wanaonihitaji bado.#vitu mbali mbali "

 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging