Msanii wa HipHop kutoka Marekani,50Cents amefungiwa Account ya benk na anatarajia kukosa huduma za kifedha kwa muda.
Nyota huyo amefungiwa akaunt kutokana na kudaiwa zaidi ya dolla za Marekani,Million 17 sawa na zaidi ya shilingi Billioni 27 za Kitanzania
Madai hayo yanatokana na 50 cents kusambaziwa headphones na kampuni moja ya huko nchini Marekani
Mali nyingine za 50 cents ziko salama kutokana na mali hizo kuwa kwenye uangalizi madhubuti