Google PlusRSS FeedEmail

AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa  Mmnenguaji wa muziki wa dansi Aisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ amefariki dunia leo katika hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.


Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika,amefariki akiwa hospitali ya Mwananyamala alikopelekwa akiwa tayari ameshafariki

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging