Google PlusRSS FeedEmail

BARNABA BOY, PRO 24 DJS KUPAGAWISHA JIJI LA MWANZA

Muimbaji Mwenye uwezo Mkubwa wakupiga vyombo vya Muziki Kutoka THT Barnaba boy leo usiku anatarajia kudondosha bonge la burudani katika ukumbi wa Villa Park ndani ya jiji la Mwanza ikiwa chini ya kundi la madj ya kitaifa Pro 24 Dj.

 Pro 24 Dj's wapo ndani ya jiji la Mwanza kwa siku 3 mfululizo ambapo siku ya kesho (Jumamosi) watadondosha burudani ya nguvu ndani ya Samaki Ferstival jijini Mwanza

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging