Google PlusRSS FeedEmail

DRAKE AMRUDIA BABA YAKE

                               
Mara baada ya kupatikana na majanga mfululizo,Rapper wa Young Money,Drake ameonekana kumrudia baba yake mzazi .Dennis Graham kwa kutaka kufanya nae kazi kwenye Record yao mpya

Nyota huyo Drake aliwahi kuripotiwa kukorofishana na baba yake ambaye ni mkali wa muziki wa Jazz kwa kiasi cha kushindwa kuzungumza kabisa
Laikini Rapper huyo ambaye mpaka hv sasa ana umri wa miaka 26 amebainisha kuwa hv sasa yuko katika maandalizi ya kufanya wimbo wa pamoja na baba yake.
                       

Drake alishwahi kusikika akisema kuwa hatoongea na baba yake kutokana na kuwa hakuna anachohitaji kutoka kwa mzazi wake huyo..Lakini hv karibuni wawili hao walionekana katika mitaa ya baverly Hills ambapo Dennis Graham aliiambia Tmz kuhusu maisha ya utotoni ya Drake kwamba alikuwa akipenda kkupiga Piano
                  
Hii itakuwa Rapper wa kwanza kufanya kazi na baba yake mara baada ya Rapper Nas kuwahi kufanya kazi na baba yake ambaye ni mkali wa kupiga Tarumbeta katika nyimbo kazaa ikiwamo Bridging the Gap


This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging