Google PlusRSS FeedEmail

LIL KIM ATAKA KUMPIKU NICKI MINAJ

                       
Rapper wa kike Lil Kim ameahidi kuweka swa mipango yake ya kurejea kwenye muziki na kumfunika Rapper mwizie wa kike ambaye hv sasa anafanya vyema Nicki Minaj

Lil Kim amesema hapendi kuona Nicki Minaj kutetesa kwenye game,sasa ameamua kuja ili kumpigu mwenzie..
Msanii huyo Lil Kim ameweka wazi mpango wa kufanya ziara yake ya kimuzki itakayofahamika kama The Return Of  the Queen,kuanzia January mwaka 2015
Katika kusindikiza ziara hiyo Lil Kim ameshapakua mzigo wake mpya ambao ataanza kutambulisha katika ziara hiyo
       
Kwa upande wake Nicki Minaj kwa sasa anaonekana kushika hatamu kwenye upande wa wasanii wa kike wa muziki huo wa Rap

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging