Google PlusRSS FeedEmail

HATIMAYE MZEE MENGI AMVISHA PETE KYLN HUKO DUBAI

                           k lyn
Mmiliki wa makampuni ya IPP bwana Reginald Mengi amemchumbia aliewahi kuwa Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe (Klyn)
Ilikua ni birthday ya bidada iliyofanyikia Dubai ndio mzee akaamua ku propose kwa mlimbwende huyo…., nae bila hiyana alipoulizwa “Will you marry me” hakusita kusema “I do” Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kinasema Bwana Mengi hajawahi kuwa happy kwenye mahusiano kama alivyo sasa yeye mwenyewe kakiri kuwa huyu binti kamuonyesha Mapenzi mazito

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging