Google PlusRSS FeedEmail

P-DIDDY & DRAKE NUSURA WAZICHAPE HUKO MIAMI


Nyota  wawili wa muziki wa Hip Pop Nchini Marekani P.Diddy na Drake hivi majuzi walionekana wakitishiana maisha ,mara baada ya kurushiana maneno makali katika klabu ya Fontainebleau Hotel huko Miami,Marekani

Wasanii hao walianza kurushiana maneno asubuhi walipokuwa wakitoka katika club hiyo ya usiku ambapo inasemekana chanzo ni P.Diddy kutoa maneno ya kashfa kwa Drake alipokuwa Jukwaani

Hata Hivyo mtayarishaji wa muziki Boi-1d,aliomba wasanii hao kufanya wimbo wa pamoja ambapo Drake alionekana kutokubaliana na jambo hilo..

Taarifa kutoka vyazo  mbalimbali vya habari zinasema kuwa P.Diddy na Drake wamekuwa katika kutoelewana kutokana na Drake kuhusishwa kuwa na usiano wa kimapenzi na Cassie ambaye ni mpenzi wa P.Diddy


This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging