Google PlusRSS FeedEmail

IDRIS SULTAN APOKELEWA KISHUJAA

                            

Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa 2014 Idris Sultan akishangilia wakati akilakiwa kwa furaha na mashabiki waliojitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo akitokea nchini Afrika Kusini yalikokuwa yakifanyika mashindano hayo. Kushoto kwake ni Laveda aliekuwa mshiriki mweza wa Idris.Mama Mzazi wa Idris Sultan akijiandaa kumpokea mwanae.
                        Mshindi wa Big Brother Africa 2014 Idris Sultan akiongea na wanahabari.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging