Google PlusRSS FeedEmail

BEYONCE AMKUNA NICKI MINAJ


Nyota wa muziki wa Pop,Nick Minaj ,amefurahiswa na hatua ya Beyonce,Kumtumia ujumbe mfupi wa maneno wakati wa kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa

Msanii huyo machachari aliadhimisha majuzi na kufanya tafrija fupi iliyohudhuriwa  na baadhi ya watu maalumu walioalikwa

mwanamuziki huyo alisema kuwa alifurahishwa sana kwa kuwa anaamini Beyonce,anamthamini kwa kiasi kikubwa katika siku yake ya kuzaliwa

Minaj msanii mwenye vituko lukuki ndani na nje ya jukwaa,alisherehekea siku yake kuzaliwa mara baada ya kufikisha umri wa miaka 32.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging