Google PlusRSS FeedEmail

NDOA YA KIM KARDASHIAN NA KANYE MATATANI

                                                
Raper  mashuhuri wa Marekani ,Kanye West na Mkewe Kim Kardashian,huenda ndoa yao ikavunjiaka kutokana na masuala mbalimbali yanayoendelea kwa sasa baina ya wawili hao...Imeripotiwa katika mitandao mbali mbali kuwa Kanye yuko katika mgogoro na mke wake huyo ambaye mpaka sasa wana mtoto mmoja wa kike ambaye wamemwita jina la North East ambaye ana umri wa mienzi 19 sasaTangu sakata hilo litokeee wawili hao bado hawajazungumzia swala hilo,

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging