Google PlusRSS FeedEmail

C.P.U NI FILAMU YANGU KUBWA TANZANIA- SAUDA

                  Sauda Simba

Sauda Simba amejivunia kuigiza katika filamu kubwa ya C.P.U Kitengo cha kutetea Watoto amesema kuwa ni filamu kubwa kushiriki na anatarajia sinema hiyo kumjengea wasifu mkubwa katika medani za kimataifa, kwani ni kazi yenye hadhi ya sinema kubwa.


“Mara nyingi si rahisi sana kuniona nikishiriki katika filamu za nyumbani kulingana na hadithi au utengenezaji wake ni tofauti sana na sinema ya C.P.U nimeipenda na sinema inayojenga Cv yangu kimataifa zaidi, wengi watarajie kuona makubwa,”anasema Sauda.

Filamu kubwa ya C.P.U Kitengo cha kutetea Watoto inaingia sokoni mwezi February 2015 kusambazwa nchi nzima na kampuni mahiri ya Proin Promotions ni katika Dvd baada ya kutoka katika kurushwa katika majumba ya sinema sehemu kubwa ya Ulimwenguni.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging