Google PlusRSS FeedEmail

FILAMU YA CPU SASA MADUKANI KWENYE MFUMO WA DVD

                  
Filamu ya C.P.U ‘ inatarajia kuuzwa katika mfumo wa Dvd baada ya kuonyeshwa katika majumba ya sinema sehemu mbalimbali ulimwenguni, sasa inakuja kwa ajili ya watanzania wapendao filamu.

Sinema hiyo ndio kazi pekee ambayo imefuata mfumo wa filamu kabla ya kuingia sokoni katika dvd, na aina nyingine ya uuzaji kwa njia ya mitandao lazima iweze kuonyeshwa katika majumba ya sinema ndio ije katika aina kama hii ambayo tumeizoea Tanzania.

Sinema ya Cpu ‘Kitengo cha kutetea Watoto’ ndio filamu ya kwanza kutengenezwa katika ubora wa kimataifa kwa kurekodiwa kwa kutumia Helkopita na kushirikisha wasanii wengi kuliko filamu yoyote iliyowahi kurekodiwa Bongo na sasa inakuja kuingia mtaani katika ubora wake.

Filamu ya CPU ‘Kitengo cha kutetea Watoto’ itasambazwa nchini nzima kwa kila Mtanzania atashuhudia kazi bora na ya kipekee 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging