Google PlusRSS FeedEmail

CHIDI BENZ ALALAMIKA KUITWA CHIDI VITS

          

Mara baada ya kuenea picha iliyokuwa ikisema Chid Benz & Chid Vits katika mitandao ya kijamii  huku ikiwa inaonyesha picha ya Chid Enzi zake alivyokuwa akikubalika kwa mashabiki..

Hatimae Chid aongelea swala hulo na kusema kuwa   watu waliofanya hivyo ni kumkosea heshima,ila ni wabaya wake ambao wanataka kumchafua '' mimi nakubalika sana mashabiki wangu na nawapenda sana ila hao wanaonichafua wao waendelee tu maana mimi nimeongelewa kwa mengi ila nimekuwa kimya na kuvumilia hayo yote..alimalizia kwa kusema Kelele za mlango haziwezi kumnyima usingizi mwenye nyumba.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging