Google PlusRSS FeedEmail

LADY JAYDEE ADONDOKA NA TUZO

Wiki iliyopita zimetolewa tuzo za Bingwa Music Awards nchini Kenya, na staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Jide ndiye msanii pekee wa Tanzania aliyeondoka na tuzo Wimbo wa ‘Yahaya’ wa Lady Jaydee ulichaguliwa kuwa Wimbo Bora wa Afrika Mashariki.

Hii ni orodha kamili ya washindi wa tuzo hizo:

Artist of the Year – Kenrazy

Showbiz Personality of the Year – Churchill

New DJ of the Year – DJ Slim

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging