Google PlusRSS FeedEmail

JENNIFER HEWITT ABEBA MIMBA NYINGINE

                                     
Mwigizaji kutoka huko Hollywood  Jennifer Hewitt anatarajia kupata mtoto mwaka huu.Taarifa iliyotolewa na gazeti moja nchini Marekani ,limeeleza kuwa mrembo huyo ameshika ujauzito hv karibuni
Jennifer  ameolewa na Brian Hallisay ambapo mwakilishi wa mwigizaji huyo amethibitisha habari hiyo

Mrembo huyo anatajiwa kujifungua mtoto wa pili ndani ya mwaka huu ambapo hivi sasa amekuwa anajificha kuonekana mara kwa mara

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging