Msaga Sumu akimpelekesha Khanifa Khalid anayeserebuka kwa staili ya gwaride.
MALKIA WA MIPASHO AKITOA BURUDANI DAR LIVE
Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa (kulia) na Khanifa Khalid wakikamua.
Muimbaji wa taarabu, Aziza Kimodo akitoa burudani Dar Live jijini Dar es Salaam..
Shadya Chotara naye akionesha makali yake
Baadhi ya Mashabiki wakifurahia burudani
Muimbaji wa Taarabu Khadija Kopa akicheza kwa madaha wakati akifanya ‘mavituz’ stejini
Kundi la Ogopa Kopa kazini
Msaga Sumu akimpelekesha Khanifa Khalid anayeserebuka kwa staili ya gwaride.
Msaga Sumu akimpelekesha Khanifa Khalid anayeserebuka kwa staili ya gwaride.