WOLPER KUTOLEWA POSA ???????
MSANII wa sinema za Kibongo, Manaiki Sanga ametangaza nia ya kutaka kwenda kupeleka posa kwa staa wa sinema, Jacqueline Wolper, kwa madai kuwa anampenda sana.Akizungumza Dar es Salaam, Manaiki alisema hapa Bongo wanaume wengi hawajui wanawake wazuri lakini kwa upande wake ameona uzuri wa Wolper ni pambo la moyo wake, atapeleka barua nyumbani kwao.