Google PlusRSS FeedEmail

MWANAMITINDO AAMUA KUONDOA MBAVU 2 KUTENGENEZA UMBO NAMBA NANE

Mwanamitindo na stripper maarufu kutoka Miami ‘Estrelle’ amefanya maamuzi ya mugumu ili kupata muonekano aupendao. Model huyu wa video na matangazo amekubali kutolewa mbavu zake mbili ili apate umbo namba 8.

Mwana mitindo huyu alikwenda Miami kwenye hospitali maarufu inayofanya zoezi hilo ambalo limetajwa kuwa ni hatai sana na kupona kwa mgonjwa inaweza kuchukua mpaka miezi 6 kupona.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging