Google PlusRSS FeedEmail

BADO WAENDELEA KUPIGA PICHA ZA UTUPU

IMEBAINIKA kuwa hata baada ya kupewa ushauri, kwa wasanii wa R&B kuacha kupiga picha huku wakionesha sehemu kubwa ya vifua vyao, bado wasanii hao wanendelea kufanya jambo hilo.

Huyu mwingine  Msanii wa Rnb uliyemsikia kwenye hit zake kama 2 On na Pretend “Tinashe” ameng’arisha jarida la V kwa picha zake akiwa kifua wazi kwenye toleo la mwaka 2015.

Tinashe amezungumzia kufananishwa na Jhene Aiko na kusema ‘ kama kila msanii anatengeneza kazi bora basi wote tuna nafasi yetu kwenye muziki ila tusichanganye mashabiki ‘.


This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging