
Msanii wa muziki Rihanna ameanza rasmi kutangaza bidhaa za
kampuni ya Puma, Nyota huyo alianza
kuzinadi bidhaa za michezo ambapo,kampuni
hiyo imeanza kupata sifa kem kem kutoka kwa watumiaji wa bidhaa zake
Rihanna alipiga picha tofauti tofauti na kuzisambaza kwenyeb mitandao mbalimbali ya
kijamii ikiwemo istagram,na twitter

Msanii huyo
anatarajia kufanya kazi na puma kwa muda wa mwaka mmoja ,na atakuwa akitangaza
nguo vitatu na bidhaa zingine tofauti tofati za puma