Google PlusRSS FeedEmail

SINA MPANGO NA WAKWARE - CAMERON DIAZ


                               

Mrembo Cameron Diaz amesema kwamba hana mpango na wanaume wapenda ngono .Cameron amesema hayo wakati akizungumza na gazeti moja la nchini Marekani kwamba wanaume wa namna hiyo ni hatari.

Alisema amebaini wanaume wanaume wapenda ngono wamekuwa wepesi kubadilika kwa vile wakivutiwa na mwanamke mwingine ni rahisi kumuacha mpenzi wake na kuanzisha mahusiano mapya.
Hata hivyo amekanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Taylor Kinney ambaye ni mpenzi wa sasa wa Lady Gaga.
     

Cmeron Diaz ambaye hivi karibuni amefunga ndoa na Benji Madden amekiri kwamba ana  imani mumewe ni mtu mtulivu na wataishi kwa upendo

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging