Google PlusRSS FeedEmail

KIWANGO CHANGU KIPO JUU- CASSIE

            Cassie Kabwita

Mwigizaji  wa filamu kutoka nchini Zambia Cassie Kabwita amesema kiwango chake kipo juu ndio sababu ya kushirikishwa katika filamu za Kibongo zinazotengenezwa Tanzania  akiwa ni msanii pekee kutoka Zambia akiigiza filamu na wasanii nyota Bongo.


“Nafurahia kuigiza na wasanii wakubwa wanaofanya vizuri kama Jb kitu ambacho kinanifanya nijione kiwango changu kipo juu sana kwani nakutana na wasanii wenye uwezo na kukubalika katika filamu,”anasema Cassie.

Msanii huyo kutoka Zambia amecheza katika kampuni ya Jerusalem Film awali alishiriki katika filamu ya Vita Baridi na mwaka huu ameshiriki katika filamu mpya inayokuja ya Mzee wa Swaga akiwa na msanii mkongwe anayefanya vizuri katika game

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging