Google PlusRSS FeedEmail

BIRDMAN NA THE GRAND BUDAPEST HOTEL YAMTOA MACHOZI OPRAH WINFREY

Chris Pine akichuruzikwa na machozi 
John Legend mwenye mic akiimba na rapa Common mbele kushoto

David Oyelowo na Oprah Winfrey wakilengwa na machoziTuzo za filamu za kimataifa za Oscars zimefanyika kwa mafanikio makubwa huko Los Angeles Marekani, ambapo kati ya matukio mengi ya burudani, kazi za filamu ya Birdman na The Grand Budapest Hotel kila moja ikifanikiwa kuibuka na tuzo nne kutoka vipengele tofauti.

Kivutio kikubwa katika tuzo hizo pia ni rekodi ya Glory iliyofanywa na rapa Common pamoja na John Legend kwa ajili ya filamu ya Selma, kuibuka na tuzo kutoka kipengele cha Best Original Song.

Wakati wimbo huo ukiimbwa na rapa Common na John Legend uliwatoa machozi mastaa kadhaa akiwemo Oprah Winfrey, David Oyelowo pamoja na Chris Pine.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging