Google PlusRSS FeedEmail

MARA BAADA YA KIMOLA KUOKOKA AFUNGUKA

         KIMLOLA KIMLOLA

Kimlola’ ametamba kwa kusema kuwa maombi ya kazi zake katika uigizaji yamejibu kwani toka aokoke kila kitu akifanya kazi inajibu tofauti na siku zilizopita ilikuwa ngumu hata kupata kazi ya filamu na kushiriki hata sehemu ndogo, pengine watu walimsahau baada ya kifo cha Kanumba.


“Nilipatwa na hofu nikitaka kuamini kuwa labda swahiba yangu Marehemu Kanumba kaondoka na nyota yangu na hilo lilitokana na ukaribu na marehemu kwani ilikuwa kila akitoa sinema anaichagua na kushiriki, nashukru nimepata meneja na tayari nimerekodi filamu kadhaa,”anasema Kimlola.Kimlola anasema amesharekodi filamu mbili ambazo tayari amepokelewa na wasanii vizuri na wenzake kwa kiwango cha juu hata kutishia nafasi za wasanii kama Ritchie na Lumole Matovolwa alioshiriki nao katika filamu ya Bahati na filamu ya Ndio Ilivyo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging