Google PlusRSS FeedEmail

FROLA MVUNGI AHOFIA MTOTO WAKE KUTEKWA

                                              

MWIGIZAJI wa filamu na muziki Bongo Frola Mvungi yupo katika wakati mgumu baada ya kuhofia mtoto Tanzanite kuitekwa na watu wasiojulikana, msanii huyo amedai kuwa kuna watu ambao wamefika nyumbani kwake zaidi ya mara tatu kumtaka mfanyakazi wa awape mtoto huyo.

           Frola Mvungi, Tanzanite.
“Nimepatwa nahofu mtoto wangu sijui antaka kuibiwa na watu wasiojulikana mara ya kwanza walikuja watu wawili mwanamke na mwanaume wakamwambia dada wa kazi kuwa nimewaagiza wamchukue Tanzanite wampeleke shule, dada akawataliaThis entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging