Google PlusRSS FeedEmail

HAYA NDIO MAJIBU YA GADNER BAADA YA JAYDEE KUMNYOOSHEA KIDOLE JUU YA UVUNJIFU WA NDOA YAO

Baada ya siku moja Mwanamuziki Lady Jay Dee Ambae alikuwa mke wa Gadner G Habash Kufunguka kisa cha kumuacha mumewake  Hatimaye Gadner na Yeye ameamua kumjibu mke wake kwa mtindo huu.
Kwa kupitia ukurasa wake wa Istagram, mtangazaji huyo maarufu Gadner aliandika hivi "Valentine hii naishi kwa hisani ya Mungu Muumba, napendeza kwa hisani ya @robbyonefashion, nakula kwa hisani ya kazi @efm_93.7 Efm, natamba kwa hisani ya @majizzo, nna amani kwa hisani ya washkaji wangu @abdallah_gunda na @edbyamps na lavi davi kwa hisani ya #VJM.
Ndugu zangu na jamaa zangu nawauliza nimjibu au nisimjibu huyo anayedhani yeye malaika anayekosewa yeye tu"

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging