Wakati wasanii mbalimbali Duniani Juzi wakisheherekea sikukuu ya wapendanao ,lakini mrembo Kelly Brook ameonekana peke yake katikati ya jiji la Los Angeles,Marekani
Kelly aliwa peke yake bila ya kuwa na mpenzi wake David Mcintosh,ambaye wamekuwa wakiachana na kurudiana mara kwa mara ..