Google PlusRSS FeedEmail

KUESHIMU NDOA NI JAMBO LA LAZIMA OMOTOLA

                                                        

Muigizaji Omotola Jalade amesema katika maisha hakuna kitu anakiheshimu kama ndoa yake na Matthew Ekeinde

Alisema amekuwa anafanya kazi nyingi lakini analazimika kumuhudumia mume wake,
Mume lazima ana muda wa kupata haki yake vinginevyo ninaweza kujikuta pabaya,alibainisha kuwa muda mwingi anautumia katika kutengeneza filamu ila ana jukumu pia la kuwa karibu na familia yake
                                      
Amekiri kuwa mafanikio yote aliyoyapata yametokana na kuwepo na amani kati yake na mumewe na familia yake kwa ujumla..

Amesema katika kipindi cha miaka 20 ya kuigiza anajali zaidi kusaidia watoto yatima na watu wenye mahitaji mbalimbali 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging