Google PlusRSS FeedEmail

VAN VICKER - KUNYANYASA WASANII CHIPUKIZI SI JAMBO LA BUSARA

                                                

Kinara wa  uigizaji nchini Ghana Van Vicker amesema atapambana na watarishaji wa filamu wanaokwamisha wanawake wenye vipaji kuigiza 

Vicker alisema hayo hivi karibuni wakati wa sherehe za kutimiza miaka 10 ya ndoa yake na mke wake Adjon.
                                                      
Alisema amebaini wapo watarishaji wanakiuka haki za binaadamu,.Akizungumzia kuhusu mipango ya filamu yake mpya ,alisema ana mpango wa kutunga filamu inayozungumzia madhara ya biashara ya utumwa

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging